Karibu!

Msaada kwa Kuheshimiana wa Winooski uliundwa
kwa ajili ya COVID-19 na mabadiliko ya mahitaji ya
jamii. Sisi ni majirani tuliojitolea kushughulikia
mazirahi ya kila mkazi wa Winooski. Tunaalika
yeyote anayetaka kuungana nasi kutujulisha! Kila
mtu ana kitu ya kuchangia, na tunaamini ya kwamba
ni lazima tutegemeane.

Maono Yetu

 Tunatarajia Winooski iwe jamii ya
kusaidiana. Tunachagua kufanya kazi pamoja si
kufanyiana kazi, ili kupunguza vizuizi vya huru wetu
wote. Msaada wa Kuheshimiana wa Winooski
unafuata mila ndefu ya mashirika ya msaada wa
kuheshimiana yanayozingatia kufanikiwa kwetu sote
licha ya rangi yetu ya ngozi, jinsia, mwelekeo wa
kijinsia, dini, hali ya uraia, na njia zingine za
kujitambulisha. 
Tunaunda mshikamano si ufukara.

Je, unahitaji msaada?

 

Msaada kwa Kuheshimiana wa Winooski inajitahidi
kusaidia wanajamii wa Winooski wengi
iwezekanavyo. Ndio maana, tutaweka mbele
waombi wa kwanza, na tujibu kwa mpangilio wa
kuingia.

Kama unahitaji kupata msaada mara kwa mara, tutafurahia kukuelekeza kwa misaada mengine huku mtaani. Bonyeza "RESOURCES" kupata mieneo
mengine yanayoweza kukusaidia.

Unahitaji msaada wa nini?

Asante!